Mbatia amshtaki Mkuu wa Wilaya kwa Magufuli

Mbunge wa Vunjo James Mbatia na Rais Dkt, John Pombe Magufuli

Mbunge wa Vunjo kupitia NCCR-Mageuzi, James Matia amedai aliwemnda kuonana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ajili ya kumueleza malalamiko yake juu ya Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Kippi Warioba kwa madai ya kusitisha ujenzi wa barabara na kupelekea hasara ya mabilioni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS