Halima Mdee abakiza mwezi mmoja

Mbunge wa Kawe (CHADEMA), Halima Mdee.

Hakimu Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Thomas Simba ameuagiza upande wa mashtaka katika kesi ya kutumia lugha chafu dhidi ya Rais John Magufuli, inayomkabili mbunge wa Kawe (CHADEMA), Halima Mdee kuhakikisha wanapeleka mashahidi mahakamani ili iweze kumalizika mwaka ndani ya huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS