ACT yaingilia sakata la rushwa ya ngono UDSM

Msemaji wa ACT - Wazalendo Ado Shaibu, na Dkt Vicensia Shule.

Wakati sakata la kukithiri kwa rushwa ya ngono katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) likishika kasi, Chama cha ACT-wazalendo kimeingilia kati na kutoa msimamo wake kuhusu suala hilo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS