JKT Tanzania yazidi kuikazia TFF na Yanga
Uongozi wa klabu ya JKT Tanzania umesema utaendelea kushikilia msimamo wake juu ya kupanguliwa kwa ratiba yake ya mechi ya kiporo ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Yanga kutokana na maagizo ya Bodi ya Ligi (TPLB)