Sugu atangaza kufuata nyayo za Kikwete
Mbunge Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amesema anakaribia kukamilisha kitabu chake alichokipa jina la Siasa kutoka bungeni hadi kufungwa jela (siasa from the Parliament to prison) na kueleza kitabu hicho kitaelezea maisha yake akiwa gerezani.