Mzee Akilimali afunguka kilichomkwamisha Yanga
Baada ya kuwepo kwa tetesi za muda mrefu kuwa mmoja wa wanachama wa muda mrefu wa klabu ya Yanga, Ibrahimu Akilimali, maarufu mzee Akilimali, hatimaye amejitokeza na kuweka wazi sababu za kutojitokea kugombea uongozi ndani ya Yanga.