Wawili “wasukumwa ndani”, korosho za Magufuli

Rais Dkt, Jon Pombe Magufuli

Hamisi Musa ambae ni karani wa Chama cha msingi cha Ushirika cha Mayanga tawi la Likonde Mkoani Mtwara pamoja na kijana Shafii Namahala wamejikuta wakiishia mikononi mwa polisi baada ya kuhamishia mizani ya kupimia korosho pamoja na shughuli zote za chama nyumbani kwao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS