Mwenyekiti wa CUF anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Prof, Ibrahim Lipumba na Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe.
Chama Wananchi CUF upande wa Profesa Lipumba umesema haufahamu chochote juu ya kukamatwa kwa Mbunge wa Jimbo la Kilwa Kusini Selemani Bungala, na viongozi wengine.