Auawa, akizuia tukio la ubakaji Kisu Mkazi mmoja wa kijiji cha Mnolela kilichopo katika halmashauri ya Wilaya ya Lindi ameuawa kwa kukatwakatwa mapanga na watu wasiojulikana wakati alipokuwa akimsaidia msichana aliyekuwa akibakwa porini. Read more about Auawa, akizuia tukio la ubakaji