Takwimu za Mtibwa Sugar na Northern Dynamo leo
Mabingwa wa kombe la FA, Mtibwa Sugar wanaipeperusha bandera ya Tanzania bara kwa kuivaa klabu ya Northern Dynamo ya visiwa vya Shelisheli katika mchezo wa kombe la shirikisho hii leo katika uwanja wa Chamazi jijini Dar es salaam.