Nyota wa Yanga afanyiwa vipimo, Dr. afafanua Kikosi cha Yanga Mlinzi wa kushoto wa klabu ya Yanga Gadiel Michael amefanyiwa vipimo leo, ambapo daktari wa Yanga Dr. Bavu amesema anaendelea vizuri. Read more about Nyota wa Yanga afanyiwa vipimo, Dr. afafanua