Yanga yawaacha Beno na Yondani Dar 

Beno Kakolanya (kushoto) na Kevin Yondani (kulia)

Klabu ya Yanga imewaacha wachezaji wake wawili, Golikipa Beno Kakolanya na Beki wa klabu hiyo Kelvin Yondani katika kikosi chake kilichosafiri leo Alfajiri kwenda Mwanza baada ya kushindwa kuripoti kambini kama walivyoombwa na uongozi wa klabu hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS