Mikoa 8 inayoongoza kwa kulima bangi Tanzania Waziri Jenista Mhagama ambaye yuko chini ya Ofisi Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama ameitaja mikoa nane inayoongoza kwa kilimo cha bangi nchini. Read more about Mikoa 8 inayoongoza kwa kulima bangi Tanzania