Shilole akemea vyombo vya habari
Msanii wa Bongofleva Shilole amelalamikia vyombo vya habari kwa kuwapa nafasi watu wasio na vipaji na kupata umaarufu na baadae kujiita wasanii ambao mwisho wa siku huharibu sanaa na kufanya vituko ambavyo vina aibisha wasanii.