Pawasa awapa ujumbe mzito Taifa Stars

Boniface Pawasa (kushoto) na Mbwana Samatta na John Bocco.

Kocha wa timu ya taifa ya soka la Ufukweni, Boniface Pawasa amekumbusha wachezaji wa timu ya taifa ya soka (Taifa Stars), kuwa tayari wameshaanza kucheza mechi dhidi ya Lesotho hivyo wasisubii mpaka siku ya mechi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS