''Namuona Mh. Msigwa inamuuma sana'' - Job Ndugai
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai amempa dongo mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa kwa kumwambia anaumia kumuona mbunge mpya wa CCM Joseph Mkundi wa Ukerewe akichangia bungeni.