''Yanga pamenuka utasikia leo au kesho'' - Manara

Haji Manara

Msemaji wa Simba Haji Manara amesema namna mchakato wa mabadiliko ya mfumo ndani ya klabu ya Simba ulivyofanyika kwa mafanikio makubwa ni mfano wa kwa vilabu vingine kama wapinzani wao Yanga ambao mpaka sasa kuna misuguano.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS