TANZIA : Mrisho Mpoto afiwa na Mke wake

Picha ya Mrisho Mpoto na aliyekuwa Mke wake

East Africa TV, East Africa Radio na Digital zake inatanguliza salam za pole kwa msanii Mrisho Mpoto kwa kufiwa na Mke wake siku ya leo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS