Chadema yaunda safu kusaka katiba mpya
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza wajumbe 11 wa kamati maalumu ya Kamati Kuu itakayoratibu na kuendeleza mchakato wa ukusanyaji wa maoni kuhusu upatikanaji wa katiba mpya kabla ya mwaka 2027.

