Ligi ya Uingereza yaendelea kuweka heshima Duniani

Timu zilizofuzu michuano ya ulaya msimu huu

Ligi kuu England imeendeleza utawala wake kwenye soka la Ulaya baada ya Aston Villa na Crystal Palace kuungana na Arsenal kuwa miongoni mwa timu sita zilizotinga fainali ya michuano mitatu ngazi ya klabu Barani Ulaya, yaani UEFA Champions League, UEFA Europa League na Conference League

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS