Azam na Yanga kuongozwa na Kamanda Muslim Klabu ya soka ya Azam FC imemtangaza Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Fortunatus Muslim, kuwa ndiye mgeni rasmi kwenye mchezo wake wa kesho dhidi ya Yanga. Read more about Azam na Yanga kuongozwa na Kamanda Muslim