''Sijashangazwa na Sanchez'' - Mourinho Baada ya nyota mpya wa Manchester United Alexis Sanchez kucheza mechi yake ya kwanza kwenye klabu hiyo kocha Jose Mourinho amesema hajashangazwa na kiwango cha nyota huyo. Read more about ''Sijashangazwa na Sanchez'' - Mourinho