Mawakili watatu wa Sugu, wajitoa

Mawakili wa utetezi katika kesi inayowakabili Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi 'Sugu' na Katibu CHADEMA kanda ya Nyasa Emmanuel Masonga wamejiondoa kutokana na kutokuwa na imani na muenendo wa kesi hiyo na kuwataka watafute Mawakili wengine.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS