Mwigulu aagiza kukamatwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt Mwigulu Nchemba Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt Mwigulu Nchemba ameagiza kutafutwa na kukamatwa mara moja kwa watu wote wanaohusika na uteswaji wa vijana wanaopelekwa nje ya nchi kutafuta ajira. Read more about Mwigulu aagiza kukamatwa