TFF yaifanyia mabadiliko ya mechi Azam na Yanga Mechi kati ya Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Azam FC imerudishwa masaa nyuma na hatimaye kuchezwa saa 10 Alasiri badala ya muda ule wa awali saa 1:00 usiku kama ilivyokuwa. Read more about TFF yaifanyia mabadiliko ya mechi Azam na Yanga