Kikwete awakumbuka wananchi wake

Mbunge wa Chalinze (CCM) Mhe. Ridhiwani Kikwete amefunguka na kumshukuru Rais mstaafu wa awamu ya nne Mzee Jakaya Kikwete na mkewe wake kwa kuweza kuchangia mifuko 300 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati na Nyumba za walimu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS