"Bob Junior anaogopa" - Amber Lulu Msanii Amber Lulu hapo jana alikanwa kuwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na msanii Bob Junior, amefunguka na kudai kuwa msanii huyo anaogopa kusema ukweli. Read more about "Bob Junior anaogopa" - Amber Lulu