Kilichotokea baada ya shule ya makuti kuripotiwa
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Mtwara QS Omary Kipanga, amesema ujenzi wa vyumba vya madarasa katika Shule ya Msingi Mitambo iliyopo kata ya Msimbati ambayo iliripotiwa kuwa na madarasa ya makuti, unaendelea shuleni hapo.