Rais Magufuli akimtambulisha Waziri wa Mambo ya Nje Balozi Dkt. Augustine Mahiga (aliyevalia suti nyeusi) kwa Balozi wa Ethipia hapa nchini Dina Mufti Saidi
Rais John Magufuli amewapongeza Mabalozi sita walichaguliwa na nchi zao kuja kuziwakilisha nchini Tanzania huku akiwaahidi kuwapa ushirikiano utakaowezesha kukuza pande zote mbili.