Simba waazima 'Bus' la Azam FC Klabu ya soka ya Azam FC imeweka wazi kuwa haina mahusiano yoyote na timu a Al Masry, ambayo imetua nchini leo kwaajli ya kucheza na Simba huku ikitumia Basi la klabu hiyo kutoka Uwanja wa ndege kuelekea hotelini. Read more about Simba waazima 'Bus' la Azam FC