Nyoso kupandishwa Mahakamani Mlinzi wa timu ya Kagera Sugar Juma Said Nyosso. Mlinzi wa timu ya Kagera Sugar Juma Said Nyosso anatarajiwa kupandishwa Mahakamani siku yeyote kutoka leo (Jumanne), kutokana na kutenda kosa la jinai wakati akitoka nje ya uwanja. Read more about Nyoso kupandishwa Mahakamani