"Sholo Mwamba ni mfa maji"- Man Fongo Msanii wa miondoko ya singeli Man Fongo amesema hawezi kukaa na kumzungumzia Sholo Mwamba kwa madai yeye ni mfa maji ndiyo maana haishi kutapa tapa kila uchao kumtaja. Read more about "Sholo Mwamba ni mfa maji"- Man Fongo