''Watanzania wameikubali Azam FC''

Kuelekea mchezo wa leo wa ligi kuu soka Tanzania Bara kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Azam FC, msemaji wa wa Azam FC Jafar Idd Maganga amesema watanzania wameanza kukubali falsafa ya timu hiyo ya kutumia vijana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS