CCM yatoa agizo
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu wake wa NEC Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole kimewataka viongozi wake wa ngazi zote kuisimamia serikali katika ngazi zote na kuhakikisha wanajishughulisha na kutatua shida za wananchi kwenye maeneo yao.