''Hakuna kama Ronaldinho labda Messi'' Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ametoa heshima ya kumuaga nyota wa zamani wa Barcelona na Brazil Ronaldino Gaucho ambaye amestaafu soka kwa kusema hakuna kama yeye labda Messi. Read more about ''Hakuna kama Ronaldinho labda Messi''