JKT Tanzania yarejea VPL kwa kishindo Timu ya JKT Tanzania inayofundishwa na kocha Bakari Shime imerejea Ligi Kuu soka Tanzania Bara msimu ujao baada ya ushindi wa mabao 5-1 ilioupata jana jioni dhidi ya African Lyon. Read more about JKT Tanzania yarejea VPL kwa kishindo