Manula na Simba waonja Shubiri

Baada ya klabu ya soka ya Simba leo kulazimishwa sare ya mabao 3-3 na Stand United, imekuwa ndio mechi ya kwanza kwa mlinda mlango wa klabu hiyo Aishi Manula kuruhusu mabao mengi kwenye mechi moja.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS