Familia yarudisha mwili wa marehemu alipouawa

Marehemu David Wokabi

Familia ya marehemu kijana David Wokabi ambaye alikuwa akifanya kazi benki nchini Kenya, imerudisha mwili wa marehemu huyo mahali ambapo alipigwa na watu waliosababisha kifo chake, ili kudai haki na fidia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS