Klabu ya Simba yapewa angalizo na Rais
Wachezaji wa Klabu ya Simba imeagizwa kufanya vizuri katika mechi zake anazoendelea kucheza ili iwe njia moja ya wapo ya kumuenzi mchezaji wao wa zamani Mzee Arthur Mambeta aliyefariki jana (Marchi mosi, 2018) Jijini Dar es Salaam.

