Meli zenye dawa ya kulevya zafutiwa usajili Serikali ya Tanzania imezifutia usajili meli mbili zilizokamatwa zikiwa na shehena ya madawa ya kulevya na silaha, huku ikikana kuhusika na mzigo uliokamatwa nazo. Read more about Meli zenye dawa ya kulevya zafutiwa usajili