''Mwakyembe ameonesha mapinduzi mapya''

Katibu mkuu wa chama cha Riadha Tanzania (RT) Wilhelm Kidabuday amesema kitendo cha Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe kukubali maombi ya mwanariadha Alphonce Felix Simbu ni mapinduzi mapya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS