Bilioni moja kutolewa kwa Vijana na Wanawake Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam imetenga takribani shilingi bilioni moja na milioni mia moja, kwa ajili ya kutoa mikopo kwa vijana na wanawake. Read more about Bilioni moja kutolewa kwa Vijana na Wanawake