Dar es salaam kukamata 'wauzaji' Jeshi la Polisi Kanda Maalum jijini Dar es salaam linaendesha oparation maalumu ya kuwakamata watu wanaofanya biashara ya kuuza mwili, pamoja na wale wanaowahifadhi kwenye nyumba zao. Read more about Dar es salaam kukamata 'wauzaji'