Man City yakubali yaishe kwa Sanchez Ripoti kutoka nchini England zimeeleza kuwa klabu ya Manchester City imeamua kuachana na mpango wa kumsajili mshambuliaji wa Arsenal Alexis Sanchez ambaye imekuwa ikimwinda kwa muda mrefu. Read more about Man City yakubali yaishe kwa Sanchez