Wenger anavyofurahia kubaki Arsenal Kocha wa Arsenal Arsene Wenger amesema katika maswali yanayomfurahisha ni yale yanayohusu hatima yake ndani ya timu hiyo ambayo ameifundisha tangu mwaka 1996. Read more about Wenger anavyofurahia kubaki Arsenal