Halmashauri zapewa wiki moja Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi ametoa muda wa wiki moja kwa Halmashauri zote katika Mkoa huo kuhakikisha zinapata na kusambaza sumu na mabomba ya kuulia wadudu wanaoshambulia zao la Pamba. Read more about Halmashauri zapewa wiki moja