Simba mbioni kumnasa kocha wa TP Mazembe Tetesi kubwa kwenye soka hapa nchini zinazoendelea kusambaa ni zile zinazohusu klabu ya soka ya Simba kukaribia kufikia makubaliano ya kumwajiri kocha wa zamani wa TP Mazembe Hubert Velud. Read more about Simba mbioni kumnasa kocha wa TP Mazembe