Ajitoa uhai baada ya kukataliwa ombi lake Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 11 ameamua kujiua baada ya ombi lake la kuhamishwa shule kukataliwa huko nchini Kenya. Read more about Ajitoa uhai baada ya kukataliwa ombi lake