Hospitali zapigwa marufuku kuuza damu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amezitaka Hospitali na vituo vya Afya nchini kuhakikisha wagonjwa hawauziwi damu. Read more about Hospitali zapigwa marufuku kuuza damu