"Nimerudi tena' - Wema Sepetu Muigizaji wa filamu mwenye nyota yake bongo na Afrika Mashariki Wema Sepetu, amefunguka na kusema amejisikia vizuri na furaha kwa yeye kurudi kwa mara nyingine katika mitandao ya kijamii. Read more about "Nimerudi tena' - Wema Sepetu